![]() |
Nilipata fursa ya kufanya presentation juu ya "Film script writing" |
Thursday, 10 December 2015
Chuo kipya cha Filamu - Dar Journalism Academy
Siku moja kwenye mwezi wa tisa 2015, nilipigiwa simu na rafiki yangu wa siku nyingi ambae niliwahi kufanya nae kazi za uandishi wa habari, alinikaribisha kwenye ofisi yake mpya, nilifika ofisini hapo, kwamshangao nilikuta zana zote za utengenezaji filamu. Nilifika chuo kipya cha uandishi habari na utengenezaji wa Filamu-DAR JOURNALISM ACADEMY...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment