Siri ya
Mtungi imetunikiwa Tuzo na AfriComNet Annual Award, kwa Ubora
29 Oct 2015
Siri ya Mtungi, Tamthilia ya Televisheni ambayo ili tayarishwa na CCP’s Tanzania Capacity and Communication Project (TCCP), ndiyo iliyo shinda Tuzo ya AfriComNet Annual Award kwa Ubora. Hii ni katika kutambua mchango mkubwa katika sekta ya "Mawasiliano na Afya" unaotelewa kwa kiwango kikubwa na watu binafsi na taasisi mbalimali nchini, mchango ambao The AfriComNet awards inautambua.
TCCP ili tayarisha Tamthila hii ya Siri ya Mtungi katika kampeni za kuelimisha umma juu ya kuzuia mambukizi UKIMWI,Uzazi wa mpango,na uzazi salama na afya ya mtoto. Utafiti unathibitisha kuna pengo kubwa kati ya Uwelewa na Tabia. Chanzo cha habari:http:ccp.jhu.edu
No comments:
Post a Comment