Wengi wamekuwa wakisema….sasa hivi watu wako juu, studio
kibaao zimefunguliwa…
![]() |
Having a studio is one thing……
|

Kuwa na
studio ya audio (sauti) haina maana kuwa umefanikiwa
au umeingia
ndani ya fani ya utayarishaji muziki au vipindi vya redio.
Kuna maswali
ya kujiuliza kabla yakuingia studio au kutengeneza studio.
No comments:
Post a Comment