Tuesday, 22 June 2010

Khadija,Irene na Paul wakisikiliza kwa makini


Watayarishaji wa Vipindi vya simulizi kutoka Radio Faraja na Radio voice of Tabora katika warsha ya kujifunza jinsi ya kuhariri simulizi zinazo tolewa na washuhuda.

2 comments:

  1. Hao watayarishaji wana hariri maandishi au picha

    ReplyDelete
  2. Hapana hawa ni watarishaji wa vipinidi vya radio, baada kurekodi simulizi kwenye rekoda zao, wana hariri sauti za simulizi hizo kabla
    kuzipeleka hewani.

    ReplyDelete