Monday, 9 November 2009

Kila muandishi katika warsha hii alisimulia kisa cha kweli kinacho muhusu yeye mwenyewe ambacho hatokisahau kamwe. Sote tuliguswa na kila simulizi.


Hiki ni kikosi cha waandishi wa michezo ya kuingiza redioni huko Bungoma Kenya.
 Niliweza(wa pili kutoka kushoto) kuendesha washa ya siku nne ya kupitia michezo yao. Kwa kweli wanajitahidi.
Michezo hiyo imedhaminiwa na World vision (Kenya)katika mradi wao wa ARK.